Ufafanuzi wa komoni katika Kiswahili

komoni

nominoPlural komoni

  • 1

    pombe ya kienyeji ya sehemu za Iringa nchini Tanzania.

Matamshi

komoni

/kOmOni/