Ufafanuzi wa kompyuta katika Kiswahili

kompyuta

nominoPlural kompyuta

  • 1

    mashine ya elektroniki ya kuhifadhi na kuchanganua taarifa zilizoingizwa, kukokotoa na kuongoza mitambo.

    tarakilishi

Asili

Kng

Matamshi

kompyuta

/kOmpjuta/