Ufafanuzi msingi wa kondakta katika Kiswahili

: kondakta1kondakta2

kondakta1

nominoPlural makondakta

  • 1

    mtu anayepokea nauli na kutoa tiketi k.v. katika gari la abiria.

Asili

Kng

Matamshi

kondakta

/kOndakta/

Ufafanuzi msingi wa kondakta katika Kiswahili

: kondakta1kondakta2

kondakta2

nominoPlural makondakta

  • 1

    mwongoza muziki k.v. wa bendi.

Asili

Kng

Matamshi

kondakta

/kOndakta/