Ufafanuzi msingi wa konde katika Kiswahili

: konde1konde2konde3konde4

konde1

nominoPlural makonde, Plural konde

 • 1

  vidole vya mkono vilivyofumbwa.

  ngumi, sumbwi, ndondi

Matamshi

konde

/kOndɛ/

Ufafanuzi msingi wa konde katika Kiswahili

: konde1konde2konde3konde4

konde2

nominoPlural makonde, Plural konde

 • 1

  shamba lililolimwa.

  ‘Nakwenda kondeni’
  shamba, mgunda

Matamshi

konde

/kOndɛ/

Ufafanuzi msingi wa konde katika Kiswahili

: konde1konde2konde3konde4

konde3

kiingizi & nominoPlural makonde

 • 1

  tamko la kumtaka hali mtu afanyaye kazi shambani kabla ya kumwamkia.

Matamshi

konde

/kOndɛ/

Ufafanuzi msingi wa konde katika Kiswahili

: konde1konde2konde3konde4

konde4

nominoPlural makonde, Plural konde

 • 1

  mbegu ya tunda k.v. chungwa, limau, n.k..

Matamshi

konde

/kOndɛ/