Ufafanuzi wa kondeana katika Kiswahili

kondeana

kitenzi sielekezi

  • 1

    dhoofu sana; sinyaa sana; kuwa mwembamba sana.

Matamshi

kondeana

/kOndɛjana/