Ufafanuzi msingi wa konga katika Kiswahili

: konga1konga2konga3

konga1

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha, ~wa, ~ana

 • 1

  kuwa mzee.

  zeeka

Matamshi

konga

/kOnga/

Ufafanuzi msingi wa konga katika Kiswahili

: konga1konga2konga3

konga2

kitenzi elekezi~ea, ~eka, ~esha, ~wa, ~ana

 • 1

  meza maji kidogo ili kupunguza kiu.

  ‘Nipe maji kidogo nikonge roho’

Matamshi

konga

/kOnga/

Ufafanuzi msingi wa konga katika Kiswahili

: konga1konga2konga3

konga3

kitenzi elekezi~ea, ~eka, ~esha, ~wa, ~ana

 • 1

  kusanya vitu au watu mahali pamoja.

  kusanya

Matamshi

konga

/kOnga/