Ufafanuzi wa konganya katika Kiswahili

konganya

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    kusanya pamoja.

    changanya, biganya

Matamshi

konganya

/kOnga3a/