Ufafanuzi wa kongoni katika Kiswahili

kongoni

nomino

  • 1

    mnyama mkubwa kama nyumbu ambaye huishi porini.

    topi, ngosi

Matamshi

kongoni

/kOngOni/