Ufafanuzi msingi wa koni katika Kiswahili

: koni1koni2

koni1

nomino

  • 1

    mnyama mdogo kama komba.

Matamshi

koni

/kOni/

Ufafanuzi msingi wa koni katika Kiswahili

: koni1koni2

koni2

nomino

  • 1

    tunda gumu lenye umbo la pia linalotokana na mkoni.

Asili

Kng

Matamshi

koni

/kOni/