Ufafanuzi wa konje katika Kiswahili

konje

nomino

  • 1

    mnyama mdogo kama mbweha.

    kalakonje, njuzi

Matamshi

konje

/kOnʄɛ/