Ufafanuzi msingi wa konsonanti katika Kiswahili

: konsonanti1konsonanti2

konsonanti1

nominoPlural konsonanti

  • 1

    herufi ya alfabeti katika lugha, isiyo vokali k.m. b, ch, d, f, n.k..

Asili

Kng

Matamshi

konsonanti

/kOnsOnanti/

Ufafanuzi msingi wa konsonanti katika Kiswahili

: konsonanti1konsonanti2

konsonanti2

nominoPlural konsonanti

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    sauti ambayo hutamkwa kwa kubana au kuzuia mkondohewa kutoka mapafuni kwenda nje ukipitia ama chemba ya kinywa au chemba ya pua.

Asili

Kng

Matamshi

konsonanti

/kOnsOnanti/