Ufafanuzi wa kontena katika Kiswahili

kontena

nomino

  • 1

    sanduku kubwa sana la chuma la kusafirishia mizigo kwa malori au meli.

Asili

Kng

Matamshi

kontena

/kOntɛna/