Ufafanuzi wa kontua katika Kiswahili

kontua

nominoPlural kontua

  • 1

    mstari ulio katika ramani ambao huunganisha sehemu zilizo na kimo sawa juu ya usawa wa bahari.

Asili

Kng

Matamshi

kontua

/kOntuwa/