Ufafanuzi wa konyeza katika Kiswahili

konyeza

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya ishara kwa kufunga kidogo jicho au kwa kuinua nyusi.

    kupia

Matamshi

konyeza

/kO3ɛza/