Ufafanuzi msingi wa koo katika Kiswahili

: koo1koo2koo3koo4

koo1

nominoPlural makoo, Plural koo

 • 1

  sehemu ya mwili iliyomo ndani ya shingo na ambayo ni njia ya kupitishia vitu k.v. chakula au maji kwenda tumboni.

  umio

 • 2

  bomba la kupitishia hewa kwenda mapafuni.

  koromeo, glota

Matamshi

koo

/kO:/

Ufafanuzi msingi wa koo katika Kiswahili

: koo1koo2koo3koo4

koo2

nominoPlural makoo, Plural koo

 • 1

  ugonjwa wa umio.

Matamshi

koo

/kO:/

Ufafanuzi msingi wa koo katika Kiswahili

: koo1koo2koo3koo4

koo3

nominoPlural makoo, Plural koo

 • 1

  kuku jike.

  ‘Koo la kuku’

Matamshi

koo

/kO:/

Ufafanuzi msingi wa koo katika Kiswahili

: koo1koo2koo3koo4

koo4

nominoPlural makoo, Plural koo

Matamshi

koo

/kO:/