Ufafanuzi wa kopesha katika Kiswahili

kopesha

kitenzi elekezi

  • 1

    -pa mtu fedha au mali kwa makubaliano kurudisha baada ya muda uliokubalika.

    arifia

Matamshi

kopesha

/kOpɛʃa/