Ufafanuzi wa koplo katika Kiswahili

koplo

nominoPlural makoplo

  • 1

    cheo cha ofisa wa jeshi au polisi aliye chini ya sajini.

Asili

Kng

Matamshi

koplo

/kOplO/