Ufafanuzi msingi wa kopo katika Kiswahili

: kopo1kopo2kopo3

kopo1

nominoPlural makopo

 • 1

  chombo cha chuma au bati kinachotumiwa kutilia kitu.

  ‘Nyama ya kopo’
  ‘Samaki wa kopo’

 • 2

  chombo cha chuma au bati kinachotumiwa kuchotea kitu.

Asili

Kre

Matamshi

kopo

/kOpO/

Ufafanuzi msingi wa kopo katika Kiswahili

: kopo1kopo2kopo3

kopo2

nominoPlural makopo

 • 1

  bomba la kuteremshia maji kutoka kwenye dari la nyumba.

 • 2

  chombo kinachotiwa pembeni mwa bati la paa kukingia maji ya mvua.

Asili

Kre

Matamshi

kopo

/kOpO/

Ufafanuzi msingi wa kopo katika Kiswahili

: kopo1kopo2kopo3

kopo3

nominoPlural makopo

 • 1

Matamshi

kopo

/kOpO/