Ufafanuzi wa korido katika Kiswahili

korido

nominoPlural korido

  • 1

    sehemu iliyoko katikati ya kuta mbili ndani ya jengo.

    ushoroba

Asili

Kng

Matamshi

korido

/kOridO/