Ufafanuzi wa korija katika Kiswahili

korija

nominoPlural korija

  • 1

    vitu vya aina moja k.v. miti, shanga au nguo vikiwa ishirini ishirini pamoja.

Asili

Khi

Matamshi

korija

/kOriʄa/