Ufafanuzi wa korofisha katika Kiswahili

korofisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya udhia; fanya kisirani.

  • 2

    chafua, haribu, tatanisha, vuruga, buruga

Matamshi

korofisha

/kOrOfiʃa/