Ufafanuzi wa koroga katika Kiswahili

koroga

kitenzi elekezi

  • 1

    changanya kiowevu kwa kuzungusha kifaa au mashine.

    vuruga

Matamshi

koroga

/kOrOga/