Ufafanuzi msingi wa korokoro katika Kiswahili

: korokoro1korokoro2

korokoro1

nominoPlural makorokoro, Plural korokoro

  • 1

    kitu ambacho agh. hakitumiki.

  • 2

    kitu cha ovyoovyo.

Matamshi

korokoro

/kOrOkOrO/

Ufafanuzi msingi wa korokoro katika Kiswahili

: korokoro1korokoro2

korokoro2

nominoPlural makorokoro, Plural korokoro

  • 1

    mchezo wa kuzungusha dadu kwenye chombo ambapo mtu hushinda kwa kubashiri namba.

Matamshi

korokoro

/kOrOkOrO/