Ufafanuzi wa korota katika Kiswahili

korota

kitenzi sielekezi

  • 1

    lala kupita kiasi; lala sana.

    ‘Korota usingizi’

  • 2

    koroma, forota

Matamshi

korota

/kOrOta/