Ufafanuzi wa kosekana katika Kiswahili

kosekana

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kutokuwepo.

    ‘Mtu mmoja anakosekana’

Matamshi

kosekana

/kOsɛkana/