Ufafanuzi wa kosoa katika Kiswahili

kosoa

kitenzi elekezi

  • 1

    ambia mtu makosa yake.

Matamshi

kosoa

/kOsOwa/