Ufafanuzi wa kowana katika Kiswahili

kowana

nomino

  • 1

    samaki mdogo na mwembamba mwenye rangi za upinde wa mvua, hutumika pia kuwa ni chambo.

Matamshi

kowana

/kOwana/