Ufafanuzi wa koyokoyo katika Kiswahili

koyokoyo

nominoPlural koyokoyo

  • 1

    mdudu jamii ya siafu lakini mkubwa zaidi mwenye rangi nyekundu.

    majimoto

Matamshi

koyokoyo

/kOjOkOjO/