Ufafanuzi msingi wa kozi katika Kiswahili

: kozi1kozi2kozi3

kozi1

nomino

 • 1

  mafunzo ambayo mtu hupewa ili awe na ufundi maalumu juu ya kitu au jambo fulani.

Asili

Kng

Matamshi

kozi

/kOzi/

Ufafanuzi msingi wa kozi katika Kiswahili

: kozi1kozi2kozi3

kozi2

nomino

 • 1

  ndege mkubwa kama mwewe anayekamata wanyama wadogowadogo.

Matamshi

kozi

/kOzi/

Ufafanuzi msingi wa kozi katika Kiswahili

: kozi1kozi2kozi3

kozi3

nomino

 • 1

  kumbi la mnazi.

 • 2

  kuti lililokauka na kuanguka.

Matamshi

kozi

/kOzi/