Ufafanuzi wa kreti katika Kiswahili

kreti

nominoPlural kreti

  • 1

    sanduku la kubebea chupa za bia au soda.

  • 2

    sanduku kubwa au dogo, agh. la mbao au plastiki, la kubebea mizigo.

Asili

Kng

Matamshi

kreti

/krɛti/