Ufafanuzi wa krosi katika Kiswahili

krosi

nominoPlural krosi

  • 1

    upitishaji mpira kutoka upande mmoja wa uwanja hadi upande mwingine katika mchezo wa mpira wa miguu.

Asili

Kng

Matamshi

krosi

/krOsi/