Ufafanuzi msingi wa kua katika Kiswahili

: kua1kua2

kua1

kitenzi sielekezi~lia, ~za

 • 1

  zidi kimo, urefu, ukubwa, umbo au maumbile kadiri umri au muda unavyoongezeka.

  ‘Mti huu unaendelea kukua vizuri’
  furuka

 • 2

  zidi umri au miaka.

Matamshi

kua

/kuwa/

Ufafanuzi msingi wa kua katika Kiswahili

: kua1kua2

kua2

kitenzi sielekezi~lia, ~za

 • 1

  ongezeka akili; kuwa na busara; zidi kuwa na uwezo na maarifa.

Matamshi

kua

/kuwa/