Ufafanuzi msingi wa kuba katika Kiswahili

: kuba1kuba2

kuba1

nomino

  • 1

    dari ya nyumba iliyojengwa mfano wa tao au bakuli lililofudikizwa.

Asili

Kar

Matamshi

kuba

/kuba/

Ufafanuzi msingi wa kuba katika Kiswahili

: kuba1kuba2

kuba2

nomino

  • 1

    kaburi lililojengewa ukuta mfano wa chumba.

Asili

Kar

Matamshi

kuba

/kuba/