Ufafanuzi wa kubadhi katika Kiswahili

kubadhi

nominoPlural makubadhi

  • 1

    aina ya kiatu maalumu chenye gidamu kilichoshonwa kwa ngozi na kutiwa nakshi.

  • 2

    kiatu cha ngozi k.v. lapa chenye kanda, kilichonakshiwa au kusukwa na huchomekwa miguuni.

Asili

Kaj

Matamshi

kubadhi

/kubaDi/