Ufafanuzi wa kubalika katika Kiswahili

kubalika

kitenzi sielekezi

  • 1

    wezekana kukubaliwa.

    aminika

Asili

Kar

Matamshi

kubalika

/kubalika/