Ufafanuzi wa kubo katika Kiswahili

kubo

nomino

  • 1

    ndege mwenye manyoya meusi mgongoni na mkiani na rangi nyeupe kifuani na tumboni.

    tiva

Matamshi

kubo

/kubÉ”/