Ufafanuzi wa kubwa katika Kiswahili

kubwa

kivumishi

 • 1

  -enye kuzidi kwa umbo au kimo; -siyo ndogo.

  kabiri

 • 2

  -enye kwisha kukua.

  ‘Mtoto wako ni mkubwa sasa’

 • 3

  -a juu.

  ‘Amepewa cheo kikubwa’

Matamshi

kubwa

/kubwa/