Ufafanuzi wa kuchi katika Kiswahili

kuchi

nominoPlural makuchi

  • 1

    jogoo mkubwa wa rangi nyekundu, ambaye ni hodari sana kwa kupigana.

Matamshi

kuchi

/kut∫i/