Ufafanuzi wa kuchwa katika Kiswahili

kuchwa, kutwa

kitenzi sielekezi

  • 1

    malizika kwa mchana; kupotea kwa jua wakati wa jioni na kuanza kuingia usiku.

  • 2

Matamshi

kuchwa

/kut∫wa/