Ufafanuzi msingi wa kuda katika Kiswahili

: kuda1kuda2

kuda1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    pandisha nguo mpaka kupita kwenye mapaja.

Matamshi

kuda

/kuda/

Ufafanuzi msingi wa kuda katika Kiswahili

: kuda1kuda2

kuda2

nominoPlural kuda

Matamshi

kuda

/kuda/