Ufafanuzi wa Kudusi katika Kiswahili

Kudusi

nomino

Kidini
  • 1

    Kidini
    jina mojawapo la kumtukuza Mwenyezi Mungu, aliyetakasika na sifa mbaya.

Asili

Kar

Matamshi

Kudusi

/kudusi/