Ufafanuzi wa kufu katika Kiswahili

kufu

nominoPlural kufu

  • 1

    hali ya kulingana kwa heshima, cheo, nguvu au mali katika jamii, agh. hutumika katika mambo ya ndoa.

    lahiki

Asili

Kar

Matamshi

kufu

/kufu/