Ufafanuzi wa kufuli katika Kiswahili

kufuli

nominoPlural makufuli

  • 1

    kitu kilichotengenezwa kwa madini kinachotiwa kwenye tumbuu ili kufungia k.v. mlango, sanduku au kasha.

    kifungio

Asili

Kar

Matamshi

kufuli

/kufuli/