Ufafanuzi msingi wa kufuru katika Kiswahili

: kufuru1kufuru2

kufuru1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

Kidini
 • 1

  Kidini
  sema jambo ambalo ni kinyume na imani ya dini.

 • 2

  Kidini
  kataa kufuata imani ya dini baada ya kujua.

Asili

Kar

Matamshi

kufuru

/kufuru/

Ufafanuzi msingi wa kufuru katika Kiswahili

: kufuru1kufuru2

kufuru2

nominoPlural kufuru

Kidini
 • 1

  Kidini
  tamko au maneno ambayo ni kinyume na imani ya dini.

 • 2

  Kidini
  dharau ya dini.

Asili

Kar

Matamshi

kufuru

/kufuru/