Ufafanuzi wa kugesi katika Kiswahili

kugesi

nominoPlural kugesi

  • 1

    kikuku kinachovaliwa na wanawake miguuni kuwa ni pambo.

    mtali, furungu

Matamshi

kugesi

/kugɛsi/