Ufafanuzi wa kuju katika Kiswahili

kuju

nominoPlural makuju

  • 1

    chujio lililotengenezwa kutokana na udifu wa mnazi.

Matamshi

kuju

/kuʄu/