Ufafanuzi msingi wa kuko katika Kiswahili

: kuko1kuko2kuko3

kuko1

nomino

  • 1

    sehemu ya ardhi ambayo maji ya mvua huweza kuingia na kutoka.

Matamshi

kuko

/kukÉ”/

Ufafanuzi msingi wa kuko katika Kiswahili

: kuko1kuko2kuko3

kuko2

nomino

  • 1

    tuta la nyasi au udongo linalozunguka shamba ili kuzuia maji yasitoke.

Matamshi

kuko

/kukÉ”/

Ufafanuzi msingi wa kuko katika Kiswahili

: kuko1kuko2kuko3

kuko3

kielezi

  • 1

    huko.

Matamshi

kuko

/kukO/