Ufafanuzi wa kukumia katika Kiswahili

kukumia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~sha, ~wa

  • 1

    mimina kooni kwa wingi kitu cha majimaji.

Matamshi

kukumia

/kukumija/