Ufafanuzi wa kukusa katika Kiswahili

kukusa

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    sukuma kwa nguvu; ondosha kwa nguvu; peleka kwa nguvu.

Matamshi

kukusa

/kukusa/