Ufafanuzi wa kukutaa katika Kiswahili

kukutaa

kitenzi sielekezi~lia

  • 1

    kauka k.v. majani au nguo baada ya kupigwa na jua kali kwa muda mrefu; kuwa kavu sana.

Matamshi

kukutaa

/kukuta:/